• 2020-10-10 19:56:37
 • Ericohbruyne
 • 165 viewsHits
 • Mary006

NJERI ALIKULA FARE

First niliamka hasubui then nikaosha uso nikatake tea kaa kawaida after two minutes nikaingia mtaani kushikisha na maras wenzangu, kidogo kidogo Msupa akaingia boutique nlikuwa hapo waaah kumbe kalikuwa dem mnoma mi na me ni nani aaahi nikamwendea kumkatia nikamrushia jokes mbili tatu hivo kadem kakaingia box yangu after hpo akanipea namba zake me pia nikampea zangu. Jioni sikulala nilishinda kuchart na yeye then kesho ilikuwa Sato akanishow anataka tumeet alafu hana doo za njia, Bazenga nikamshow ni ngapi hadi huku mtaa (pahali nahishi kuanzia kwao) akanishow ni 350 me nikamtumia 400 jina enye ilirusha nilishangaa bana Etih Michael Kangethe ikabidi nitume tu na kumpigia kuconfirm kama zimefika, nikampigia simu hashiki nikarudia mara kaa tano hivi akashika but guess aliniambia Nini (nipate majibu hpo kwa comments) 

Comment

 • Generic placeholder image
  Ericohbruyne ( User )
  • 2020-10-10 19:56:37

  -: Uki view unacomment.

 • Generic placeholder image
  HARISON ( User )
  • 2020-10-10 19:56:37

  -: Wow.

 • Generic placeholder image
  Hunch ( User )
  • 2020-10-10 19:56:37

  -: Wow.